Video: Mfanyabiashara Adakwa Akidaiwa Kutapeli Kwenye Upatu na Vikoba
Wananchi mbalimbali Machi 24, 2025 wamefika katika Kituo cha Polisi Mbweni ambako mwanadada aitwaye Tumaini almaarufu Hope Brand anashikiliwa kwa tuhuma za kuwatapeli fedha zao kupitia kuchezesha michezo ya upatu na Vicoba kupitia magroup ya WhatsApp.