Kartra

Mgunda: Sikuwafundisha Hivyo Wachezaji Wangu – Video

 

KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Juma Mgunda amesema kuwa hakuwafundisha wachezaji wake mbinu ya kutengeneza mtego wa kutoea jambo ambalo aliwaonya kwenye chumba cha kubadilishia nguo. Coastal Union ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-0.

 


Toa comment