Mhadhiri Chuo Kikuu Huria azindua kitabu chake

1. Mhadhiri Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania, Dk. Hamza Khalifa Kondo akionesha kitabu chake kinachozungumzia Uhuru wa Habari katika nyanja mbalimbali.-001Mhadhiri Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania, Dk. Hamza Khalifa Kondo akionesha kitabu chake kinachozungumzia Uhuru wa Habari katika nyanja mbalimbali.
2...Akizungumza na wanahabari katika hafla hiyo (hawapo pichani).-001…Akizungumza na wanahabari katika hafla hiyo (hawapo pichani).

3.Baadhi ya wanahabari waliohudhuria hafala hiyo.-001Baadhi ya wanahabari waliohudhuria hafala hiyo.

MHADHIRI wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Dk. Hamza Khalifa Kondo, leo amezindua kitabu chake kijulikanacho kwa jina la Uandishi Habari “Huru” Tanzania ni Mapambano Endelevu ambacho hasa kitatumika katika kufundishia na kupata uelewa wa taaluma ya habari ambapo kitakuwa kikiuzwa kwa shilingi elfu ishirini tu.

(NA DENIS MTIMA/GPL)Tecno


Toa comment