Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu, Dar – Picha
Share
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 07 Machi, 2025.
Rais Samia akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 07 Machi, 2025.