The House of Favourite Newspapers
gunners X

Mhe. Rais Samia Akutana na Uongozi wa NMB Bank

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania – Mh. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Benki ya NMB ulioongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Ruth Zaipuna. 
Rais Samia alifurahishwa na utendaji wa benki hiyo na kuitaka kuendelea kuisaidia serikali katika juhudi za kukuza uchumi nchini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Benki ya NMB ulioongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo Ruth Zaipuna. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mh. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Benki ya NMB ulioongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Ruth Zaipuna. Rais Samia alifurahishwa na utendaji wa benki hiyo na kuitaka kuendelea kuisaidia serikali katika juhudi za kukuza uchumi nchini. 
Leave A Reply