The House of Favourite Newspapers

Miji 10 Duniani Yenye Gharama Nafuu Kuishi. Bongo?

 

NAJUA utakuwa unatamani kujua ni miji gani gharama zake za kuishi ni nafuu zaidi na pia ni ipi yenye gharama kubwa zaidi kuishi,  na ipi ina gharama ndogo zaidi.

 

Wataalamu  wamefanya utafiti kuhusiana na miji mikubwa duniani yenye gharama ndogo zaidi za kuishi kwa mwaka 2019. Utafiti huu ulijikita zaidi katika kufanya mahesabu kwa kulinganisha bei za vitu mbalimbali kwenye miji 133,

Caracas (Venezuela) imeshika namba moja kwa kuwa mji wenye gharama ndogo zaidi za kuishi.  Hebu ifahamu miji mingine iliyo katika kundi hilo.

 

1.Caracas (Venezuela)

 

2.Damascus (Syria)

 

3.Tashkent (Uzbekistan)

 

4. Almaty (Kazakhstan)

 

5. Bangalore (India)

 

6. Karachi (Pakistan)

 

6. Lagos (Nigeria)

 

7. Buenos Aires (Argentina)

 

7. Chennai (India)

 

8. New Delhi (India)

Comments are closed.