The House of Favourite Newspapers

Mikataba ya Majuto, Kanumba, Wastara, Mwakyembe Afunguka – Video

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe ametoa ufafanuzi juu ya mikataba ambayo alikuwa anaingia msanii wa vichekesho Amri Athumani ‘King Majuto’, Steven Kanumba na Wastara Juma ambayo waliingia na makampuni tofauti.

 

Mwakyembe amesema mpaka sasa wameshapokea mikataba 19 walioingia Mzee Majuto, Wastara, Kanumba na Ray ambapo tayari Kamati ya Kupitia Mikataba hiyo ikiongozwa na Waziri Mwakyembe, Mtendaji wa Bodi ya Filamu na wanasheria wameshaanza kuipitia ili kubaini mapungufu na haki ipatikane kwa wasanii hao.

Edwin Lindege | Global Publishers

SAKATA la Mikataba ya MAJUTO Mwakyembe Afunguka Haya

Comments are closed.