Milioni 29: Kutana na Mfalme, Hongera kwa Bingwa wa Beti Wiki Hii na Meridianbet!
Unaanzaje wiki yako? Kutana na mfalme wa beti kutoka Meridianbet wiki hii! GM, mteja wetu bingwa kutoka Morogoro ameanza vyema wiki yake kwa kuwa bingwa wa beti wa wiki, baada ya kushinda beti ya Milioni 29 kwa gemu mbali mbali alizoziweka kwenye mkeka wake.
Linapokuja suala la kubashiri, kila mmoja anayeweka jamvi huwa na ndoto anayoiota, utofauti wake na ndoto ya kawaida ni kuwa hii inakuwa karibu zaidi na uhalisia.
GM, bingwa wa beti wa wiki hii kutoka Meridianbet yeye alikuwa akiota ndoto ya kuondoka na ushindi wa milioni 29 kwenye jamvi lake, wakati akisuka mkeka.
Mteja wetu makini kutoka Morogoro alitumia shilingi 7120 kama dau kusuka jamvi la ushindi, na kusubiri ndoto yake anayoiota itimie. Mkeka wa bingwa wetu ulikuwa na mechi 32 zenye odds 4211 kutoka ligi mbali mbali ikiwemo Ligi ya Tanzania.
Mfalme wetu wa beti aliweka zaidi machaguo ya idadi ya magoli kwenye beti yake, alibeti magoli kuwa mengi zaidi au kuwa machache, pamoja na kuzuia kadi isipatikane kwenye mchezo, double chance na kubashiri kipindi cha kwanza pekee cha mchezo! Unaweza kuwa bingwa kama yeye pia ukizingatia machaguo haya!
GM ametimiza ndoto yake ya ushindi wa jumla ya 29,982,637 TZS, na kukusanya 26,985,085 baada ya kulipa kodi ya serikali ya 10%, ndoto aliyokuwa akiiota wakati akisuka jamvi lake la ushindi.
Meridianbet ni nyumba ya mabingwa, mahali pekee unapokuwa na ndoto ya ushindi na kupata odds kubwa kwa machaguo mengi zaidi. GM amenufaika na machaguo mengi yanayopatikana Meridianbet pekee kwa ligi zote Maarufu duniani.
Meridianbet inakupa odds kubwa na machaguo kibao kwenye michezo yote pendwa. Pia, una nafasi kubwa ya kuibuka mshindi kwenye promosheni na casino jackpot kwenye kasino ya mtandaoni. Jiweke karibu na Jackpot za kasino mtandaoni.
Ukiishiwa bando, bado una nafasi ya kubashiri na Meridianbet bure kwa Tigo na Airtel kwa kubonyeza *149*10#!