The House of Favourite Newspapers

Milipuko yaua watu zaidi ya 52 Uturuki

0

Turkey2343 Majeruhi wakiokolewa kutoka eneo la tukio.Turkey2323 Hali ya sintofahamu ikitanda eneo la tukio.Turkey2222 Hali ilivyokuwa baada ya mashambulizi hayoTurkey234 Waliojeruhiwa wakisaidiwa na ndugu na jamaa zao.Turkey233Miili ya makumi waliopoteza maisha wakati wa mashambulizi hayo.Turkey4344Waturuki wakikimbia kutoka eneo la tukio ili kuokoa uhai wao.
Turkey222Uokoaji ukiendeleaTurkey22…Waliopoteza maisha.Turkey2 Vilio vikitawala.Turkey1 Kikosi maalum cha uokoaji wakiwa kaziniTurkeyHali ilivyokuwa eneo la tukiuo.

Ankara, Uturuki

Milipuko miwili imetokea wakati wa mkutano wa hadhara wenye lengo la maandamano ya amani katikati mwa Mji Mkuu wa Uturuki, Ankara asubuhi ya leo na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 52 na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa vibaya.

Picha za televisheni zilionyesha watu waliokuwa na hofu na wengine wakiwa wamelala chini wakiwa wametapakaa damu miilini mwao.

Wakati duru ya pili ya uchaguzi wa ubunge ikitarajiwa kufanyika mwezi ujao, maandanmano hayo yalipangwa na vyama vya wafanyakazi wakitaka kumalizika kwa mashambulizi yanayoendeshwa na serikali dhidi ya wanamgambo wa Kikurdi.

Leave A Reply