The House of Favourite Newspapers

Mimi Mars Afurahia Kuwa Single

Marliane Mdee ‘Mimi Mars’

FULL happy! Mwanadada anayekuja kwa kasi kwenye gemu la Bongo Fleva, Marliane Mdee ‘Mimi Mars’ amesema hakuna kitu kinachompa furaha kama kuwa single kwa sababu yupo huru kufanya kazi zake vizuri.

 

Apiga stori na Ijumaa Showbiz, Mimi Mars alisema, aliamua kuishi peke yake bila mwanaume kwa sababu ameshawahi kuumizwa na aliokuwa akiwapenda hivyo kumfanya kuwa mpweke na kushindwa kufanya kazi zake vizuri.

 

“Niliishia kuambulia maumivu tu kutokana na kuwa na wanaume wasiokuwa waaminifu, nikaona hapana, kwa nini niendelee kuteseka wakati kuna maisha baada ya mapenzi? Hivyo nimeamua kuishi mwenyewe mpaka pale nitakapompata mtu sahihi, nayafurahia haya maisha kwa

 

 

MEMORISE RICHARD

Comments are closed.