The House of Favourite Newspapers

Mimi Mars anapiga miguu yote!

SEXY lady wa Bongo Fleva, Marianne Mdee ‘Mimi Mars’ amesema, anaweza kupiga miguu yote kwa maana ya kuimba na kuigiza kwani uwezo huo anao.  Akizungumza na Gazeti la Ijumaa, Mimi amesema, kama mtu akimhitaji kwenye jambo moja kati ya hayo, yupo tayari.

“Nimejaaliwa vipaji vingi hivyo nina uwezo wa kufanya jambo lolote, iwe kuigiza au kuimba na ninafanya vyote bila kukosea,” alisema Mimi ambaye ameuza kwenye Filamu ya You Again aliyoigiza na waigizaji wa nchini Kenya.

Comments are closed.