Miquissone Aachwa Al Ahly

Kocha wa Mabingwa Afrika, Al Ahly, Pitso Mosimane ametaja kikosi chake kitakachosafiri kuelekea Niger kwa ajili ya mchezo wa klabu bingwa dhidi ya USGN.

Katika kikosi hicho Pitso Mosimane amewaacha nyota wawili aliowasajili msimu huu, Luis Miquissone aliyesajiliwa kutoka Simba SC ya Tanzania na Percy Tau aliyesajiliwa kutoka Brighton and Albion ya England.

Kikosi kamili kinachosafiri;

Magolikipa: Lofty, Sobier na Hamza

Mabeki: Rabia, Yasser, Benoun, Ayman, Hany na Maalsoul

Viungo: Akram, Dieng, Hamad, El soulia na Koka

Washambuliaji: Kahraba, Walid, Mohamed Mahmoud, Taher na Sherif.2177
SWALI LA LEO

Kupanda Kwa Bei ya Mafuta Nchini, Nini Kifanyike Kupunguza Bei?
Toa comment