Miss Kinondoni Atwaa Taji la Miss Tanzania 2016

1 

Diana Edward Lukumai akiwapungia mkono mashabiki mara baada ya kuvikwa taji la Miss Tanzania 2016 usiku wa kuamkia leo jijini Mwanza.

3

Miss Tanzania 2016, Diana Edward (katikati) akiwa na mshindi wa pili, Grace Malikita na wa tatu,  Maria Peter.

2

Warembo walioingia Top 5.

 

Miss Kinondoni 2016, Diana Edward Lukumai aimeibuka kidedea kwa kutwaa taji la Miss Tanzania 2016. Shindano hilo kwa mara ya kwanza limefanyika jijini Mwanza katika ukumbi wa Rock City Mall. Diana ameibuka kidedea na kuwabwaga wenzake 30.

miss-tz-2

miss-tz-2016-1 miss-tz-2016-2 miss-tz-2016-3

Miss Tanzania 2016, Diana Edward Lukumai katika pozi tofauti.


Toa comment