The House of Favourite Newspapers

Miss Shepu Bomba na Risasi Jumamosi yanoga

0

IMG_4478TAYARI raundi ya kwanza ya shindano hili limekwishafanyika na kushuhudia Hadija Mngazija, Latifa Omari na Tunu Mwansembo wakipita na kukamilisha idadi ya washiriki 12 mpaka sasa. Kama bado haukuwa umeshiriki, unachotakiwa ni kutuma picha zako tano zikionesha jinsi ulivyojaa-jaa kwa nyuma kama Corazon, shepu bomba.

Kumbuka kwamba hatuangalii uzuri wa sura bali tunaangalia shepu bomba hasa upande wa nyuma, uwe na uwezo wa kuwatoa udenda wanaume kwa jinsi ulivyoumbika, kama upo hivyo, unatakiwa kutuma picha zako tano kwenye namba 0718069269.

Kumbuka kwamba mshindi wa shindano hili atapata nafasi ya kwenda Dubai kufanya shopping, mshindi wa pili atakabidhiwa kitita cha Sh. Milioni moja na mshindi wa tatu atakabidhiwa kitita cha Sh. Laki tano.
Katika raundi hii ya pili, tutachukua washiriki sita tu ambao wataingia kwenye mpambano mkali na wale 12 wa kwanza na mwisho wa siku mshindi kupatikana.

Kwa wasomaji, wanatakiwa kupiga kura kwa kuandika TOKA, jina la mtu anayetakiwa kutoka kisha kutuma kwa namba 0718069269.

Leave A Reply