Mitandao Yote Hii Imefungiwa Kabisa China
China ni nchi inayoongoza kwa kufungiwa mitandao mingi sana ya kijamii, website pamoja na applications. Baadhi ya sababu zilizoripotiwa kwamba zimefanya mpaka kufungiwa kwa mitandao hiyo ni ushindani wa kibishara, kodi, Taarifa nyeti, Usalama wa nchi na Taifa.
Zifuatazo ni mitandao ya kijamii iliyofungiwa nchini China.
Mitandao ya Kijamii iliyofungiwa
- Snapchat
- Youtube
- Google+
- Blogspot
- Flickr
- Periscope
- Tinder
Search Engine zilizofungiwa
- DuckDuckGo
- Yahoo
Application za meseji zilizofungiwa
- Facebook Messenger
- Telegram
- LINE
- KaKao Talk
- Signal
Website za kusikiliza audio na kuangalia video pamoja na application
- outube
- Netflix
- Vimeo
- Dailymotion
- Twitch
- Periscope
- Snapchat
Email zilizofungiwa
- Gmail
Cloud Storage na Productivity
- Dropbox
- Google Drive
- Google Docs
- Scribd
- Slack
Website za Habari na matukio
- New York Times
- The Economist
- Bloomberg
- Wall Street Journal
- Reuters
- Wikipedia (English)
- The Guardian
- Le Monde
- CNN
- BBC
- ABC
Comments are closed.