The House of Favourite Newspapers

Mitikisiko ya Pwani yaitikisa Dar Live

0

1Mwibaji wa kundi la Excellent (katikati)akiselebuka na wanenguaji wake.
2Hadija Kopa nae akionyesha umahili wake wa kuimba na kucheza.
3Wanamuziki wa Ogopa Kopa taarabu wakiserebuka.
4Ma Mc wa onyesho hilo Mc pilipili na Dida wakipozi kupigwa picha.
5Nyota Waziri akicheza na shabiki wake.
6 Nyota Waziri akimpagawisha shabiki kwa sauti tamu.
7Msagasumu akiwarusha mashabiki. 8Mzee yusufu nae akikonga nyoyo za mashabiki waliofika kwenye onyesho hilo.
9Wanenguaji wa kibao kata wakifanya yao.

Jana usiku ndani ya ukumbi wa Taifa wa burudani wa Dar Live kulikuwa na onyesho la Mitikisiko ya Pwani onyesho hilo lilizikutanisha bendi mbalimbali za taarabu za hapa jijini Dar es Salaam.

Bendi hizo ni Jahazi, Excellent, Ogopa kopa na Wakali wao, pia kulikuwa na vikundi vya Baikoko, Kibao kata na Msagasumu aidha mwanadada Nyota Waziri pia alitoa burudani katika onyesho hilo.

(PICHA ZOTE ISSA MNALLY NA RICHARD BUKOS)

Leave A Reply