MIZUKA ya THE MAFIK Wakitambulisha NGOMA Yao, USIPIME! – Video

Katika kipindi cha Bongo 255, leo Wanamuziki wanaounda kundi la The Mafik, wametambulisha ngoma yao mpya inayoitwa ‘BOBO’.

The Mafik wameachia ngoma hiyo wiki moja iliyopita, ikiwa ni ngoma yao ya kwanza tangu wawatimue viongozi wao wote kwenye lebo yao ya King Empire na Waanze kufanya kazi na menejiment mpya ya Kwetu Studio Chini ya Msafiri.

 

Mbali na Bobo inayoendelea kufanya vizuri kwa sasa, The mafik walipata umaarufu mkubwa kupitia ngoma zao kama vile Passenger ambayo ndiyo iliyowatambulisha kwenye gemu, pamoja na ngoma nyingine kama Dodo, Sheba na Acha Niwaze waliyomshirikisha mwanadada Ruby.

Loading...

Toa comment