MJADALA HOT: MAALIM SEIF KUHAMIA ACT-WAZALENDO, TUTEGEMEE NINI?

ALIYEKUWA muasisi na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, jana amekihama chama hicho na kujiunga na ACT-Wazalendo.

 

Kwa maoni yako, je, kitendo hicho kitakuwa kimemmaliza kisiasa au itakuwa changamoto mpya ya kisiasa visiwani Zanzibar?  Unadhani uhasama wa CUF na CCM Zanzibar utakuwa ni CCM na ACT?

 

Je, unadhani kuondoka kwa Maalim Seif CUF kunatokana na hujuma alizofanyiwa au ni hasira zake kwa mahakama kumtambua Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahimu Lipumba?

 

Tafadhali changia bila matusi.
MJADALA UNAENDELEA KWENYE #GlobalApp sasa. Pakua #GlobalApp na uchangie.


Loading...

Toa comment