Mjue Mtendaji Mkuu Wa Fountain Gate Thabita Kidawawa, Aliyepitia Misukosuko Hadi Leo Amesimama – Video
Mtendaji mkuu wa klabu ya Fountain Gate FC, Bi. Thabita Kidawawa aliyepitia changamoto mbalimbali katika soka lakini mpaka leo bado amesimama imara na klabu ya Fountain Gate FC imesimama imara na inaendelea kufanya vizuri.