Mkali Wenu: Mimi Siwezi Kuchoma Gari Langu Nililopewa Na Nabii Geordavie – Video
Msanii wa vichekesho nchini Jackson Supakila ‘Mkali Wenu’ ameeleza kupitia Global TV, kuwa huenda yeye ameshuka kisanaa kwa sasa lakini kushuka kwake kusifananishwe na zawadi ya gari alilowahi kupewa na Nabii Mkuu, Geordavie.