The House of Favourite Newspapers

Video: Mkali Wenu na Ebitoke Wawashangaza Mashabiki Dar Live

0
Mchekeshaji Jackson Supakila Mkali Wenu na Anna Exavery ‘ Ebitoke’  wakionesha uwezo wao.
Wakiendelea kufanya yao.
Mkali Wenu akiongea na mashabiki ndani ya Dar Live.
Wakitoa burudani kwa pamoja.

Kundi la vichekesho hapa nchini likiongozwa na  Jackson Supakila ‘Mkali Wenu na Ninyetwa Ebitoke ‘ Ebitoke’ kupitia Timamu TV, hakika lilikuwa la aina yake na liliacha simulizi kubwa kwa mashabiki waliojitokeza kulishuhudia tamasha la Wapo Concert lililofanyika usiku wa kuamkia leo ndani ya ukumbi wa burudani wa Taifa wa Dar Live.

Leave A Reply