Mkapa Alivyolishwa Keki na Mkewe kwa Mahaba – Video
Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe Benjamin Mkapa, jana Novemba 12, 2019 amesherehekea siku yake ya kuzaliwa akitimiza umri wa miaka 81, na kuzindua kitabu cha historia ya maisha yake.
Keki ya Mkapa ambayo amelishwa na mkewe, Bi. Anna Mkapa imeandaliwa na Rais wa sasa Dkt. John Pombe Magufuli.
Comments are closed.