The House of Favourite Newspapers

Mkasa Wa Kweli: Miaka 10 Ndani Ya Ndoa, Shoga’ake Akampeleka Kwa Mganga – Video

Mwanadada Rosemary.

Mwanadada Rosemary amefunguka kupitia kipindi cha Kontena ya Global TV na kueleza kuwa mojawapo ya sababu zilizopelekea kuvunjika kwa ndoa yake ni rafiki yake ambaye alimshawishi kumloga mume wake.