Mshindi wa mwezi Machi wa shindano la TUSUA MAPENE NA VODACOM, Sharabi Myovela mkazi wa Iringa akiwa ameshikilia hundi yake mara baada ya kukabidhiwa mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 toka kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania PLC.Mshindi wa mwezi Machi wa shindano la TUSUA MAPENE NA VODACOM, Sharabi Myovela( mwenye fulana nyekundu) mkazi wa Iringa akiwa na familia yake mara baada ya kukabidhiwa mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 toka kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania PLC.
Global Publishers and General Enterprises Limited is a registered private company dealing in publishing of weekly Swahili newspapers in Tanzania, namely; Uwazi, Ijumaa, Championi, Amani, Risasi & Ijumaa Wikienda.