The House of Favourite Newspapers

Mama Atokwa na Machozi Akiomba Kusadiwa Milioni moja Mtoto Wake afanyiwe upasuaji-Video

0

GLOBALJAMII wiki hii na Aisha haji (34) Mkazi wa Mpiji Magohe Jijini Dar es salaam ambaye anapitia katika kipindi kigumu baada ya mtoto wake Shufaa Saidi (11) kusumbuliwa na tatizo la Moyo pamoja na Figo kuharibika hali inayopelekea Kupoteza fahamu mara kwa mara pamoja na kuishi kwa kutumia dawa kila siku.

Akisimulia kwa Uchungu Mamam wa mtoto huyo anasema mpaka sasa ameshauza kila kitu ili kumtibia motto wake nab ado hajafanikiwa kwa kiasi kilichobaki ili mototo wake afanyiwe upasuaji ni Milioni moja (1000000).

Akiongea kwa machozi mtoto huyo anasema baba yake amekuwa akimtamkia maneno makali yanayomkosesha tumaini kutokana na matatizo anayoyapitia.

Leave A Reply