The House of Favourite Newspapers

Mke wa Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter, Rosalyn Carter (96), Afariki

0
Mke wa Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter, Bi. Rosalyn Carter (96) enzi za uhai wake.

Mke wa Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter, Bi. Rosalyn Carter (96), amefariki dunia.

Bi.Carter alifariki kwa amani akiwa amezungukwa na wanafamilia nyumbani kwao katika jimbo la Georgia.

Siku chache zilizopita bibi huyo aliungana na mume wake katika kupatiwa huduma ya mwisho wa maisha nyumbani kwao.

MUME ANAYETUHUMIWA KUMTOROSHA MTOTO AIBUKA STUDIO, AANIKA UKWELI WOTE, AFICHUA MAZITO|MAPITO

Leave A Reply