The House of Favourite Newspapers

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi Ashiriki katika Dua ya Kumuombea Rais wa Zanzibar

0

Mke wa Rais wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi ameshiriki katika Dua maalum ya kumuombea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi ilioandaliwa na Maalim Bi Sania Mahmoud kwa kushirikiana na Wanawake wa Kiislamu ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdul-Wakil Kikwajuni, Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 11 Novemba 2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kutoka kushoto).

Leave A Reply