Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, George Mkuchika amesema hakuna ulazima na wala hakuna kanuni au sheria za Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwalazimisha wakurugenzi wa halmashauri kuhudhuria vikao vya CCM kwa sababu siyo wajumbe wa vikao hivyo bali wanaweza kuitwa katika vikao hivyo kwenda kutoa taarifa za utekelezaji wa ilani ya chama kilichopo madarakani.


Comments are closed.