Mkurugenzi wa Mvomero Atangaza Nafasi za Kazi 21, Mwisho wa kutuma maombi Julai 16
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na.FA.97/288/01/09 cha tarehe 25/06/2024. Hivyo Watanzania wote wenye sifa wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kwa nafasi zifuatazo:-