Mkurugenzi wa Wilaya ya Iramba Atangaza Nafasi za Kazi, Mwisho wa maombi Agosti 8, 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na.FA.97/288/01/09 cha tarehe25/06/2024 pamoja na Kibali cha Ajira Mbadala chenye Kumb Na.FA.228/613/01/D/022 cha tarehe 21 Juni,2024 kwa mchanganuo ufuatao: –
MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III –NAFASI (5)
MWANDISHI MWENDESHA OFISI II -– NAFASI 4
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II – NAFASI 4
DEREVA DARAJA LA II – NAFASI 3