Mkutano wa Rais Magufuli na wazee wa Dar es salaam

202Rais Dk. John Pombe Magufuli akihutubia katika mkutano huo uliofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee leo.173Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimia wazee katika mkutano huo164Makamu wa Rais Mama Samia Hassan Suluhu akisalimia wazee katika mkutano huo.6Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.3Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Dini mbalimbali waliofika wakati wa mkutano wake na Wazee wa jiji la Dar es Salaam.5Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwashukuru Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee.
2 (1)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Mwenyekiti wa Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Hemed Mkali wara baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Diamond Jubelee jijini Dar es Salaam.1 (2)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick kuzungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.

Loading...

Toa comment