The House of Favourite Newspapers

Mkuu wa Jeshi la Polisi Atangaza Nafasi za Ajira kwa Vijana Waliohitimu JKT na JKU

0

 

IGP Camillus Wambura.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU), waliopo kwenye makambi na nje ya makambi wenye elimu ya kidato cha Nne, Astashahada, Stashahada, Stashahada ya juu na Shahada.

Leave A Reply