The House of Favourite Newspapers

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Atenguliwa, Kihongosi Ateuliwa Kuchukua Nafasi Yake

0

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Wilaya ya Momba, Kenani Kihongosi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu akichukua nafasi ya Dk. Yahaya Nawanda ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

Kihongosi amewahi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM.

Kihongosi aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Momba

Leave A Reply