visa

MKWARA WA ‘INSTA’ UTAVUNJA UKIMYA WA KIBA?

mkwara

Alikiba.

 

MWAKA 2007, kijana Ali Salehe Kiba alitikisa kwa mara ya kwanza nafsi za wapenzi wa muziki wa kizazi kipya. Ni mwaka huo, jamii ilimfahamu na kumuweka katika orodha ya wanamuziki wenye uwezo wa juu. Taratibu jina la Ali Salehe  likafutika. Pakachipuka jina jipya linalovuma duniani kote,  Alikiba.

 

Cinderela ni wimbo ambao ulimfungulia milango ambayo mpaka hii leo bado haijafungwa. Haukupita muda akaachia ‘albamu’ iliyokwenda kwa jina hilohilo la ‘Cinderela’. Hii ikauza zaidi ya nakala milioni mbili!

Mfululizo wa nyimbo…

Baada ya hapo, ulifuata mfululizo wa nyimbo kali ambazo zilipendwa na wengi. Hii ikamfanya afanikiwe kufanya wimbo pamoja na wasanii nguli wa kimataifa. Miongoni mwao alikuwamo mkongwe Robert Kelly…mkwara… BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
Toa comment