Mlemavu Apata Ajali Tena “Nilisukumwa na Watoto” – Video
GLOBAL TV imemtembelea nyumbani kwake mzee Shomari Mhando, mlemavu wa miguu ambaye amepata balaa lingine la kuvunjika mkono baada ya kusukumwa na watoto na kuanguka hali iliyosababisha kuvunjika kwa mkono huo..


