MLETE MWANAO HEALSUN SCHOOLS – ARUSHA

PRE & PRIMARY & TECHNICAL SECONDARY SCHOOL, DAY AND BOARDING

IMESAJILIWA KWA NO AR.01/07/075

SECONDARY REG NO S 5023

Healsun Pre-Primary Primary & Technical Secondary ikishirikiana na shirika lisilo la kiserikali la Healsuf

Foundation inakutangazia shule nzuri ya kisasa ya Secondary ya ufundi, msingi na awali ya mchepuo wa Kiingereza.

Healsun Pre-Primary & Technical Secondary ni shule ya gharama nafuu kabisa kukuwezesha wewe

Mtanzania kumudu kumsomesha mtoto katika shule ya English Medium (kutwa

na hata kulala).

MADARASA YATOLEWAYO

A- Baby Class,

B-Middle Class,

C-Pre- Unit

D-Primary- Grade I-VII

E- Sekondari ya Ufundi Form I-VI mchepue Civil Engenering & Electrical

Malipo ni kwa muhula.

Mihula ipo minne kwa mwaka, tunapokea watoto toka mikoa yote ya Tanzania na wakati wa likizo tunawarudisha mikoani mwao.

Uniform na usafiri vinapatikana hapa HEALSUN SCHOOLS.

Kwa wanaokaa Boarding (kula na kulala) ni Tshs 425,000/= kwa muhula. (1,700, 000) tu kwa mwaka mzima.

Kwa mwanafunzi wa kutwa ada ni Tshs 370,000/= kwa muhula.

(1,480,000) tu kwa mwaka mzima ada, chakula na malazi.

Wazazi, Jamii na Watanzania wenzetu mlete mtoto HEALSUN SCHOOLS

Atafundishwa na wataalamu waliobobea katika malezi ya watoto.

NAFASI ZA KUHAMIA ZIPO KWA MADARASA YOTE.

KARIBU HEALSUN Primary & Technical Secondary SCHOOLS ARUSHA

Tupo Terrat Muriet karibu na Shule

ya Msingi Terrat mkabala na Chuo cha Ualimu Sinon Terrat Campus.

DAR FOMU ZINAPATIKANA MSIMBAZI CENTRE CHUMBA NO 19, MWANZA

SPORA STATIONERY PAMBA ROAD, NA BABATI STAND COMFORT STATIONERY. KILIMANJARO VERENA STATIONARY USHIRIKA MOSHI.

AU KWENYE MTANDAO WETU HAPO CHINI.

Wasiliana nasi: P.O. BOX 15516, Arusha- Tanzania (E.A)

Simu: 0754 681720, 0784 681720, 0715 681720

Email -Info@healsunschools.co.tz Tovut: wwwhealsuffoundation.org

“HEAL THE WORLD, EDUCATE THE NATION”


Loading...

Toa comment