The House of Favourite Newspapers

Mlipuko Harusini Waua 30 Uturuki

0

1

Taharuki baada ya mlipuko wa bomu harusini.

2

Mkusanyiko wa watu baada ya mlipuko huo harusini.

3

Ramani inayoonyesha Mji wa Gaziantep na maeneo ulipakana nayo.

WATU 30 wameuawa huku 94 wakijeruhiwa katika mlipuko wa bomu uliotokea kwenye sherehe za harusi mjini Gaziantep nchini Uturuki jana usiku, mamlaka nchini humo yameeleza.

Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan ameeleza kuwa shambulio hilo huenda limefanywa na kundi la Islamic State (IS) baada ya kuwepo taarifa za awali za kushambulia sherehe hizo.

Shambulio hilo limetokea kwenye eneo la maarufu kwa kuwa na wanavyuo wengi na lipo jirani na mpaka wa Syria ambapo kuna ngome za IS.

Leave A Reply