MO DEWJI Atambulishwa Simba Kama Mchezaji (Picha +Video)

Mfanyabiashara na mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’,  akiongea na mashabiki wa Simba jana Uwanja wa Taifa.

MFANYABIASHARA maarufu nchini ambaye pia ni mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’, jana Agosti 6, 2019 alitambulishwa kinamna yake ambapo msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara, alimtambulisha kama mchezaji wa mwisho anayecheza kila namba.

MO alizunguka uwanjani akiwapungia mkono mashabiki wa Simba ambao walifika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kusherehekea Siku ya Simba (Simba Day).

…Akiongea jambo.


Loading...

Toa comment