Mo Sio Mfadhili Simba, Ana Hisa- Magori

CEO wa zamani wa klabu ya Simba Cresentius Magori, amesema Mohamed Dewji ‘Mo’ ambaye amejiuzulu bado ni mwekezaji katika klabu hiyo na amezidiwa na majukumu ndiyo maana akaamua kufanya maamuzi hayo.

 


Toa comment