MOBETO: NIMEFURAHIA MAAMUZI YA MAHAKAMA – VIDEO

Mobeto akiwasili mahakamani.

 

MWANAMITINDO Hamisa Mobeto, amesema anaishukuru Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Kitengo cha Watoto kufuatia maamuzi yake ya kuifuta kesi aliyoipeleka mahakamani hapo akidai matumizi ya mtoto wake kutoka kwa mzazi mwenzake, ambaye ni msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz.

“Nimefurahia maamuzi ya mahakama kwa sababu pande zote mbili tulikaa tukakubaliana nayo. Kwa hiyo kila mtu ameridhika nayo na ameridhia nayo,” alisema Mobeto.

 

VIDEO: MSIKIE HAPA AKIFUNGUKA

Loading...

Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment