Monalisa Abambwa Akiuza Duka Magomeni
Msanii wa fiilamu za Bongo Muvi, Yvonney Cherry ‘ Monalisa’ amebambwa maeneo ya Magomeni Usalama jijini Dar es Salaam akiwa ndani ya duka Bannat World akiwahudumia wateja kama kawaida.
Akizungumza na mwandishi wetu, Mona alisema kuwa yupo dukani hapo kwaajili yeye ni balozi wa duka hilo na mara nyingi mwisho wa mwezi wanafanya punguzo la bei hivyo nakuwepo dukani hapo kwaajili ya kuwahudumia wateja wanaokuja hapo.
” Niko hapo nawahudumia wateja kama balozi wa Bannat World na mara mwisho wa mwezi nakuwepo hapa nawahudumia wateja” alisema Monalisa
PICHA NA IMELDA MTEMA | GPL
Comments are closed.