The House of Favourite Newspapers

Mongela Awasili Mkoani Mbeya Kwa Ziara ya Siku Moja

0
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongela amewasili mkoani Mbeya kwa ajili ya ziara ya siku moja ambapo amepokelewa kwa kishindo na wanachama wa CCM wa Mkoa wa Mbeya.
Mongela ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Mbeya ameanza ziara yake kwa kufanya vikao vya ndani na viongozi na watumishi mbalimbali wa Chama hicho.
Leave A Reply