The House of Favourite Newspapers

Morani aipeleka bongo fleva marekani

0

Kijana wa Kimasai, Emanuel Melubo maarufu kwa jina la Morani anayefanya kazi ya muziki hapa nchini na Marekani leo amezindua ngoma yake mpya iitwayo Nakuuliza ambayo inatarajia kubamba hapa nchini na nje ya Bongo ikiwemo Marekani anakoishi.

Akizungumza na wanahabari wetu Morani amesema pamoja na ngoma alishatoa zingine tatu ambazo ni Chezesha magoti, Tulia, Wewe ni wangu bado zinabamba kitaa.

HABARI:NEEMA ADRIAN

PICHA: RICHARD BUKOS/GPL  

Leave A Reply