The House of Favourite Newspapers

Morocco Yafuzu kombe la Dunia la FIFA 2026, Yaipiga Stars 2-0

Timu ya taifa ya Morocco imekuwa Taifa la kwanza kufuzu kombe la Dunia la FIFA 2026 kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Hamed Suleiman ‘Morocco’ na vijana wake wa Taifa Stars katika dimba la Honor mjini Oujda, Morocco.

FT: Morocco 🇲🇦 2-0 🇹🇿 Tanzania
⚽ 51’ Aguerd
⚽ 58’ Diaz (P)

MSIMAMO KUNDI E BAADA YA MECHI 4 (Morocco imecheza mechi 5)

1. 🇲🇦 Morocco 15Pts
2. 🇳🇪 Niger 6Pts
3. 🇹🇿 Tanzania 6Pts
4. 🇿🇲 Zambia 3 Pts
5. 🇨🇬 Bongo 0 Pt
6. 🇪🇷 Eritrea 0Pt