The House of Favourite Newspapers

Morrison Afikishwa Kamati ya Nidhamu TFF

0

Mchezaji wa Yanga SC Bernard Morrison amepelekwa Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kosa la kumpiga kiwiko mchezaji wa Tanzania Prisons Jeremia Juma wakati mpira ukiwa umesimama kwenye mchezo uliofanyika Februari 15, 2020 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Leave A Reply