The House of Favourite Newspapers

Morrison Haishiwi Vituko, Azunguka Posta kwa Miguu – Video

0

MCHEZAJI wa Simba, Benard Morrison, ameonekana akizurura mtaani mitaa ya Posta jijini Dar huku akiwa na begi, jambo ambalo limezua gumzo kwa mashabiki wa Simba wakihoji kwanini hayupo kambini na wenzake, wakijiandaa kukabiliana na FC Platinum ya Zimbabwe.

Leave A Reply