Morrison, Niyonzima Waiteka Shoo Yanga, Kocha Afunguka – Video

AKIKAA BENCHI kwenye michezo tisa tangu ajiunge na Yanga Kocha Mkuu Luc Eymael amepata wachezaji watano pekee ambao kwake amewaona wanafaa kucheza katika kikosi chake cha kwanza.

Michezo hiyo aliyoiongoza kocha huyo ni dhidi ya Tanzania Prisons ,Mbeya City, Ruvu Shooting, Lipuli FC, Mtibwa Sugar, Singida United ,Kagera Sugar ya Ligi Kuu Bara na mmoja wa kombe la FA.


Loading...

Toa comment