Kanisa Katoliki Lapata Papa Mpya, Anaitwa Robert Francis Prevost
Papa mpya amepatikana na kutangazwa Vatican. Anaitwa Robert Francis Prevost kutoka nchini Marekani ambapo anatajwa kuwa Mmarekani wa kwanza kushika wadhifa huo.
Amechagua jina la Papa Leo XIV.