The House of Favourite Newspapers

Moshi Veterani yawachakaza Boko Veterani

0

2Nahodha wa Moshi Veterani, Jafari Kiango (kushoto), akimkabidhi mchezaji wa timu ya Boko, Godfrey Malekano ‘Messi’, zawadi ya Mchezaji Bora wa Mwezi kwa niaba ya Zizzou Fashion, muda mfupi baada kumalizika kwa mchezo huo.

1Kikosi cha timu ya Boko Beach Veterani kikiwa katika picha ya pamoja muda mfupi kabla ya mchezo huo kuanza.
TIMU ya wakongwe ya Moshi Veterani wikiendi iliyopita iliitembezea kichapo dhidi ya Boko Beach Veterani kwa bao 1-0 kwenye mechi ya kudumisha urafiki baina ya timu hizo iliyopigwa kwenye Uwanja wa Boko jijini Dar es Salaam.

NA MUSA MATEJA/GPL

Leave A Reply