Moto Wateketeza Mabweni Dar
Baadhi ya vifaa vya shule hiyo vikiwa vimeteketea kabisa.
Moto ukiendelea kuteketeza vitanda.
Baadhi ya vifaa vya wanafunzi vilivyookolewa.
Wasamaria wema wakikinga maji kusaidia kuzima moto huo.
Paa la shule hiyo likiwa limeteketea kabisa.
Gari la Zimamoto likiwa eneo la tukio.
Mlango wa shule hiyo ukiwa umevunjwa ili kurahisisha zoezi la kuzima moto huo.
Paa la shule hiyo likiwa limeanguka.
Gari la shirika la umeme nchini, Tanesco, likiwasili eneo la tukio.
MOTO mkubwa uliotokea majira ya saa mbili au tatu usiku wa kuamkia leo umeteketeza mabweni ya Shule ya Secondari ya Ilala Islamic iliyopo Ilala-BingoniĀ karibu kabisa na msikiti mkubwa wa Bungoni jijini Dar es Salam.
Moto huo mbali ya kuharibu miundombinu ya shule hiyo pia umeteketeza kabisa mali za wanafunzi ambao kwa bahati nzuri hakuna aliyedhurika.Ā Miundombinu ya shule hiyo hiyo pia imeharibiwa vibaya.
(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY/GPL)
KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP
*********
JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:
KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA
INSTAGRAM: @Globalpublishers
ERIC SHIGONGO INSTAGRAM: @ericshigongo
TWITTER: @GlobalHabari
FACEBOOK: @GlobalPublishers
SUBSCRIBE YOU TUBE: Global TV Online
GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com
HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz